Music Video
Top Songs By Mbuzi Gang
Similar Songs
Credits
PERFORMING ARTISTS
Mbuzi Gang
Performer
COMPOSITION & LYRICS
Joseph Nyamwea
Songwriter
Mike Makori
Songwriter
Moses Otieno
Songwriter
PRODUCTION & ENGINEERING
Peter Ochieng Otieno
Producer
Lyrics
Happy birthday wewe (eee)
Tukate maji Leo
Unywe mpaka ulewe (
Ni siku yako leo
Happy birthday wewe (eee)
Tukate maji Leo
Unywe mpaka ulewe (eee)
Ni siku yako leo
Siku ya kuzaliwa ni majaliwa
Unataka tei ama tumwage maziwa
Achilia njiwa na tei utamwagiwa
Nina roho safi mienendo zangu pure
Usijifanye savage keki utatiwa
Dishi Iko few so joh mkuje fewer
Liwe liwalo miti joh huwanga cure
Mida ya saa sita shourty analipuliwa
Na niko guage niko zangalewa
Leo ni bash kila mtu pewa
Kila mtu Ko mikono juu hewa
Juu ya track marathon mbuzi tumelewa
Happy birthday wewe (eee)
Tukate maji Leo
Unywe mpaka ulewe (eee)
Ni siku yako leo
Happy birthday wewe (eee)
Tukate maji Leo
Unywe mpaka ulewe (eee)
Ni siku yako leo
Kama unamaji mwagia
Kama unapombe mwagia
Kama unasoda mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Kama unamaji mwagia
Kama unapombe mwagia
Kama unasoda mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Paro alipenda wreso sana ye kuenda raw nikazaliwa
Kwetu kuna kabaridi sana staki maji leo kumwagiwa
Looku white, njiwa
Hadi kuku patiwa
Msupa amekam kwa bash tu kukatiwa
Hata ka hawanijui
Pale status nasifiwa
Mizinga ikikatika
Ni Ikupate zimeshika
Aya sa skiza, skiza
Uskule food ka unajua utatapika
Sasa sa skiza, skiza
Uskuje bash ka kuromboseana shida
Happy birthday wewe (eee)
Tukate maji Leo
Unywe mpaka ulewe (eee)
Ni siku yako leo
Happy birthday wewe (eee)
Tukate maji Leo
Unywe mpaka ulewe (eee)
Ni siku yako leo
Kama unamaji mwagia
Kama unapombe mwagia
Kama unasoda mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Kama unamaji mwagia
Kama unapombe mwagia
Kama unasoda mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Wote kwa hii party wazee tulizaliwa
Sindio
Ok mi nataka kuskia
Hehehe lets go
January
February
Marchi
April
Piga nduru maze
May
June
July
August
Wapi nduru maze
September
October
November
December
Nduru maze, wapi nduru maze
Siwaskii wapi nduru maze
Kama unamaji mwagia
Kama unapombe mwagia
Kama unasoda mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Kama unamaji mwagia
Kama unapombe mwagia
Kama unasoda mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Mwagia mwagia
Alright then siku yako ya kuzaliwa
Kila mtu apatiwe miwa
Kuna party hadi kwa njia
Shika msupa we mwagia
One time it's your birthday
Cheza nami Gyal kwenye party
Tunarepresent full hundred
From monday mpaka sunday
Make up imewaka ka dress kamefit
Figure number nane physically fit
Wallet imebeba dollar na shillings
Kwenye neck tumepiga bling bling
Happy birthday wewe (eee)
Tukate maji Leo
Unywe mpaka ulewe (eee)
Ni siku yako leo
Happy birthday wewe (eee)
Tukate maji Leo
Unywe mpaka ulewe (eee)
Ni siku yako leo
Writer(s): Joseph Getugi Nyamweya, Peter Ochieng
Lyrics powered by www.musixmatch.com