Lyrics

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe Wa kupewa sifa na utukufu na heshima Ni wewe, mwenye nguvu na uweza ni wewe Wa kupewa sifa na utukufu na heshima Ni wewe, mwenye nguvu na uweza ni wewe Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima Ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe. Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima Ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe. Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima Ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe. Ufanye moyo waaangu uwe wa kukuaabudu baba yangu. Yafanye maisha yaaangu yawe ya kukusifu weweee Maana pweke wastahili heshima na Utukufu mwenye nguvu na uweza ni wewe. Peke yako wastahili heeshima na Utukufu mwenye nguuvu na heshima ni wewe. Ooohh Halleluyah Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima Ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe. Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima Ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe. Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima Ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe. Nilizaliiiwa mimi kwa neeema yako, Niliuuumbwa baba kwa mfano wakoooooo. Yani pasa nikutumikie wewe peke maana wewe tu ni mwenye nguvu na uweza Yani pasa nikutumikie wewe peke maana wewe tu ni mwenye nguvu na uweza Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima Ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe. Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima Ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe. Wa kupewa sifa na Utukufu na heshima Ni wewe, Mwenye nguvu na uweza ni wewe.
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out