Lyrics

Tunayo furaha moyoni kuwa nanyi wapendwa Tutafurahia ajabu tutapokua washindi Twapaona kwa mbali karibu tutafika Ni ng'ambo ya mto hapo ni nyumbani kwetu Bwana wetu Yesu kaketi kwenye kiti chake Anatuombea kwa Baba ili tuwe washindi Twapaona kwa mbali karibu tutafika Ni ng'ambo ya mto hapo ni nyumbani kwetu Tutamlaki tukiuimba wimbo wa Musa Tukisema haleluya Yesu asifiwe amina Twapaona kwa mbali karibu tutafika Ni ng'ambo ya mto hapo ni nyumbani kwetu
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out