Lyrics

Nimbalii nimetoka Tena niajabu kuwa hai, maana ningeshakufa aga Nimengi nimeona, tena yakuvunja moyo labda ningesha mwacha mungu Oh kama ni misongo ya mawazo, magonjwa maa Nimepitia, nikazoea Maumivu yakudharauliwa umaskini Kila siku ninajipa moyo (mmh) Ipo siku yangu tu, ipo si-siku Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe Ipo siku yangu tu, ipo si-siku Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami ninarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe) Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami ninarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe) Ahh, oh hu hu naona Mmh Ayaya Ayaya Ayaya Mhh mh Ingawa kwasasa wananisema vibaya, nami sishangai najua niya-wanadamu hayoo Ingawa sipati na nikwa muda murefu, siachi kuomba mungu si kiziwi Ah binadamu wema ukiwanacho, kwasasa waniepuka sina rafiki wa dhati Oh kama ni misongo ya mawazo, magonjwa maa Nimepitia, nikazoea Maumivu yakudharauliwa umaskini Kila siku ninajipa moyo (mmh) Ipo siku yangu tu, ipo si-siku Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe Ipo siku yangu tu, ipo si-siku Ipo siku yangu tu, nami niba-niba-nibarikiwe Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami ninarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe) Nami nibarikiwe (nibarikiwe) Ah nibarikiwe (nibarikiwe) Oh nami ninarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe) Miaka imepita unaombaga mtoto hupati, vuta subira maana yeye hachelewi Ona biashara imeandamwa mikosi hupati, usimwache mungu waganga watakuponza Mpo kwa ndoa ila nyumbani amani hakuna, msimwache Mungu michepuko sio jibu Umeugua tumaini la kupona hakuna, usimtazame mwanadamu siku yako imekaribia heyy Najua, ayaya Najua, ayaya Najua, ayaya Ipooo Najua, ayaya Najua, ayaya Najua, ayaya Ipooo Misukosuko ya ndoa (ipo) Mtoto anakusumbua (siku) Giza likiingia unawaza wapi utalala (iba iba ibarikiwe) Masimango mashemeji (yangu tu) Ati huzai mtoto (siku) Masimango mama wa kambo, umemchosha nyumbani Usiwaze husiumie, najua yote yatapita Siku imekaribia, najua yote yatapita Nawe ubarikiwee (nibarikiwe) Nawe ubarikiwee (nibarikiwe) Nawe ubarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe) Nawe ubarikiwee (nibarikiwe) Nawe ubarikiwee (nibarikiwe) Nawe ubarikiwe (nibarikiwe, niba-niba-nibarikiwe)
Lyrics powered by www.musixmatch.com
instagramSharePathic_arrow_out